imcopex - one of the leading distributors of office supplies worldwide. Beamer, Cartridges, Toner, Printers, Copier, Fax etc.

Deutsch English Español Français Italian Russian Portuguese Polish Arab Japanese Chinese Croatian Czech Hungarian Greek Turkish Danish Norwegian Swedish Finnish Dutch Hebrew Vietnamese Filipino Mandarin Swahili Romanian Bulgarian Korean Persian
   / imcopex Homepage

/___ Karibu katika dunia ya imcopex.

imcopex ni mfumo mkuba wa wataalamu wa vifaa vya ofisi. Tushikamana na sisi veyma. Tumeleta habari zote muhimu zinazohitajika kuhusu imcopex kwako. Katika lugha ya kiswahili zifuatazo zinapatikana.

- Kwanini imcopex?

- Data + Ukweli uliopo

mfumu wa imcopex

- dalili + bidhaa

mawasiliano

 

Tumeleta taarifa zaidi kwako katika lugha ya kikngereza na kijerumani.

Kama una maswali, matakwa maalum, ama kama ungependa kutaka habari zaidi, Tafadhali uwasiliane na Rainer Romboy ama makao makuu.

 

Kwanini imcopex?

imcopex ni moja ya wagawaji wakubwa wa vifaa vya ofisi katika dunia nzima.


Uzoefu wetu wa zamani wa kipindi cha miaka ishirini, ufundi wetu na marafiki zetu wa biashara pamoja na uangalifu wetu, zinakupa manufaa.
imcopex inakupa dalili zote, bidhaa zote na sifa zote za vifaa vya ofisi.

imcopex unakutolea mkusanyiko wa vifaa vya ofisi.

 

 

imcopex Homepage english 6.0

Kuelekea kilele

 

 

Data + Habari

imcopex ilianzishwa mnamo mwaka elfu moja mia tisa themanini na nne (1984).

- Makao makuu yake katika eneo la Hamburg lililoko katika nchi ya Ujerumani.

- Mashuhuri kwa ajili ya vifaa vya ofisi

- Kuenea katika nchi zipatazo mia moja ishirini na mbili (122).

- Watengenezaji wapatao arobaini (40), kuhusika na mpango huo.


Idadi ya weney hisa katika imcopex, inaendelea kuongezeka tangu mwaka elfu moja mia tisa themanini na nne (1984) kutoka wenzi wawili kila mwaka, hadi wenzi mia moja sitini na moja (161) katika mwaka elfu mbili na tatu (2003).

 

 

imcopex Homepage english 6.0

Kuelekea kilele

 

 

Mfumo wa imcopex

Tangu miaka ishirini iliyopita, imcopex imekuwa ikiunda mfumo mtandao katika dunia nzima. Kwa ongezeko hilo la kawaida, Tumeunda biashara maalum kwa mujibu wa maombi mbalimbali ya soko.

“Mfumo mtandao wa imcopex”.

Kwa ajili ya mfumo mkubwa wa wataalamu, tunaweza kudai ustadi katika nyanja zote.

Karibu katika mfumo wa imcopex.
Karibu kwenye ”World of Supplies (dunia ya vifaa vya ofisi)”.

 

 

imcopex Homepage english 6.0

Kuelekea kilele

 

 

Dalili na Bidhaa

Unahitaji mkusanyiko mkubwa ao bora wa vifaa vya ofisi?
Kwanini kucagua, kama mmoja anaweza kumiliki mbili zote?
imcopex inakupa mkusanyiko mkubwa wa vifaa vyote muhimu vya ofisi ambavyo ni.

-Mwanzishaji \ Mwendelezaji

-Toneri ya leza yaani (Laser –Toner)

-Tonere ya Faksi

-Toneri ya nakala za nyaraka

-Wino

-Mlingoti wa Ngoma

-Karatasi

-Riboni

-Vipuri

-Mashine ya kupigia chapa

-Kopieri (copier)

-Faksi

-Skena

-Beameri (Beamer)

Umepata taarifa zaidi kuhusu nafasi ya vifaa vya ofisi:

 

 

imcopex Homepage english 6.0

Kuelekea kilele

 

 

Mawasiliano

___/ Karibu kwa moyo mkuu, kwenye "World of Supplies" (dunia ya vifaa vya ofisi ), pia utapata manufaa kutoka mawasiliano bora, uzoefu wa muda mrefu, utaratibu wa ugavi wa vifaa katika dunia nzima na kuwasilisha kwa mwenyewe. Kuijaribu imcopex, dai la pendekezo lako binafsi.

 

imcopex office supplies GmbH
Rainer Romboy
Auf dem Ralande 7-9
21465 Wentorf bei Hamburg
Germany 

Nambari ya Simu ni +49. 40. 72 90 67 67
Nambari ya Faksi ni +49. 40. 72 90 67 68

www.imcopex.com
info@imcopex.com
rainer.romboy@imcopex.de

Tumeleta taarifa zaidi kwako katika lugha ya kikngereza na kijerumani.

 

 

imcopex Homepage english 6.0

Kuelekea kilele

 

 




 
Sitemap | Imprint | Terms of Use | Terms & Conditions
Seite drucken | Send to a Friend
 
imcopex office supplies GmbH - Vifaa vya ofisi vinavyotolewa na Imcopex ni dalili zote, bidhaa zote, upimaji wote.
Mmoja wa mgawaji mkubwa wa vifaa vya ofisi katika dunia nzima, ambavyo ni –
Beameri, Kibweta cha risasi, Toneri, mashine ya kupigia chapa, Faksi na kadhalika.
Auf dem Ralande 7-9, 21465 Wentorf bei Hamburg - Germany
Nambari ya Simu ni +49. 40. 72 90 67 67 · Nambari ya Faksi ni +49. 40. 72 90 67 68
Barua ya pepe: contact@imcopex.de · realization: atlantis media GmbH